- This event has passed.
JUMATANO GROOVE – SINAUBI ZAWOSE & PAMOJA (TZ/PL)
July 3, 2024 @ 7:30 pm
FreeJUMATANO GROOVE – SINAUBI ZAWOSE & PAMOJA (TZ/PL)
SINAUBI ZAWOSE has a clear vision and mission to preserve and sustain the legacy of his father Dr Hukwe Zawose and Charles Zawose, masters of Gogo tribe music and chiefs of the Zawose dynasty. SinaUbi’s goal is to always deliver a high-quality live performance of his music influenced by traditional Swahili and Gogo tribe songs and dances. SinaUbi continues collaborating with the government and various institutions in promoting Peace, Unity and stability in the Union of Tanzania and around the globe.
RECAP
On Wednesday,3rd of July, 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
_________________________
[MUSIC] JUMATANO GROOVE – SINAUBI ZAWOSE & PAMOJA (TZ/PL)
SINAUBI ZAWOSE ana maono na dhamira ya wazi ya kuhifadhi na kudumisha urithi wa baba yake Dk. Hukwe Zawose na Charles Zawose, wataalamu wa muziki wa kabila la Wagogo na viongozi wa ukoo wa Zawose. Lengo la SinaUbi ni kutoa burudani ya moja kwa moja ya hali ya juu ya muziki wake mwenyewe unaoathiriwa na nyimbo na ngoma za jadi za Kiswahili na kabila la Wagogo. SinaUbi anaendelea kushirikiana na serikali na taasisi mbalimbali katika kukuza Amani, Umoja na utulivu katika Muungano wa Tanzania na duniani kote.
MUHTASARI
Jumatano, tarehe 3 Julai, saa 1:30 usiku
Katika Alliance Française ya Dar es Salaam
Kiingilio Bure Kila Jumatano