- This event has passed.
KIPAZA HURU
December 5, 2024 @ 7:00 pm - 10:00 pm
Sherehekea utamaduni wa Kiswahili kwa mchanganyiko wa mashairi, muziki, dansi, na zaidi! Jiunge nasi kwa sherehe ya mwisho wa mwaka na usiku wa kipaza huru wa kipekee! Jifunze jinsi sanaa mbalimbali zinavyochangia na kuimarisha mila na desturi zetu.
Scan namba ya QR kujiandikisha kushiriki Kipaza Huru kabla ya Jumatano, Desemba 4, 2024.
Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA.
Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na
Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project.
Endelea kufuatilia na jiunge nasi
#creationafricatanzania kwa habari zaidi.