SAUTI ZA BUSARA MUSIC FESTIVAL
February 14 @ 4:30 pm - February 16 @ 1:30 pm
Ungana nasi kuanzia Februari 14 hadi 16 Februari ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar. Ni siku tatu, majukwaa manne, na bendi zaidi ya 20 zikipiga Live 100% muziki wa Kiafrika chini ya anga la Afrika! 🌍
Tiketi za mapema zinapatikana sasa mtandaoni kupitia tovuti yetu, Tukiio, na pia katika vituo vya ukataji tiketi katika maeneo haya: 🎟️✨
📍Alliance Française, Dar es Salaam
📍Ofisi za CPS, Fumba Town
📍Livingstone’s, Mji Mkongwe Zanzibar
📍Mr.Kahawa, Paje
Na hii ndio orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika msimu ya 22 wa Sauti za Busara 2025! ✨🎤✨
Thandiswa @thandiswamazwai 🇿🇦
Blinky Bill @blinkybillmusic 🇰🇪
Christian Bella & Malaika Band @bellachristian1 🇹🇿
Bokani Dyer @bokanidyer 🇿🇦
Frida Amani @fridaamaniofficial 🇹🇿
Assa Matusse @assamatusse 🇲🇿
The Zawose Queens @zawosequeens 🇹🇿
Kasiva Matua @kasivamutua 🇰🇪
Zanzibar Tara Heritage Ensemble 🇹🇿
Mumba Yachi @officialmumbayachi 🇨🇬
Nidhal Yahyaoui @yahyaouinidhal 🇹🇳
Boukuru @boukurumusic 🇷🇼
Ukhoikhoi @ukhoikhoi 🇿🇦
Leo Mkanyia & The Swahili Blues @mkanyialeo 🇹🇿
Charles Obina @charlesobina3 🇺🇬
Joyce Babatunde @joycebbabatunde 🇨🇲
Tryphon Evarist @tryphon_official 🇹🇿
Étinsel Maloya 🇷🇪
WD Abo @wd.abbo 🇸🇩
B. Junior 🇾🇹
Baba Kash & The Band @babakash 🇹🇿
Swahili Encounters 🌍
•