
- This event has passed.
ARUSHA DANCE AUDITION
February 6 @ 2:00 pm - 6:00 pm
Free
ARUSHA DANCE COMPANY INAKULETEA
.. DANCE AUDITION
RATIBA ALHAMISI, FEB 6, 2025, 2:00 PM – 6:00PM
📍SEHEMU : NJIRO COMPLEX FLOOR YA 3
KAMA UNA KIPAJI CHA KUCHEZA HUU NI WAKATI WAKO SASA KUONESHA KIPAJI CHAKO. TUTAKUWA TUKICHAGUA MA DANCER TOFAUTI TOFAUTI PIA NYIMBO MBALI MBALI ZITAFUNDISHWA KUPIMA UWEZO WA KILA DANCER KARIBU UJIUNGE KATIKA UCHAGUZI HUU UPATE NAFASI YA KUJIUNGA ARUSHA DANCE.
PIA ITAKUWA POA KAMA UKIMWAMBIA NA MWENGINE APATE NAFASI YA KUKUZA KIPAJI KARIBU SANA NA ASANTE SANA
KARIBU UJIUNGE NASI SASA.
HAKUNA KIINGILIO WASILIANA NASI 0718738823.