Loading Events

BEACH PARTY – BAGAMOYO & SAADAN

April 25 @ 7:30 am - April 26 @ 7:30 am

Tsh.110000 – Tsh.200000

Venue

Saadani National Park
Saadani National Park, Pwani
Pwani, Tanzania, United Republic of
+ Google Map

Organizer

Idmansafaris_tz
Phone:
0768166735

Details

Start:
April 25 @ 7:30 am
End:
April 26 @ 7:30 am
Cost:
Tsh.110000 – Tsh.200000
Event Categories:
, ,

Other

Area(Town/City)
Bagamoyo

Hodi!!!! @saadani_nationalpark sasa ni zamu yenu @idmansafaris_tz Tuko hapo April hii😋

Ewe Mtanzania Karibu IDMAN SAFARIS kwenye safari yetu ya Saadani Weekend ya PASAKA tarehe 24 hadi 25
Safari hii ni ya ajabu sana usikose

GHARAMA NI
°Kwa mtu 110,000/=
° wanandoa 200000

GHARAMA itajumuisha
✓Usafiri kwenda na krudi
✓ kiingilio cha hifadhini.
✓Chakula
✓ mchezo na Burudani zote
✓Viinywaji laini
√Mtaalamu wa mwongozo wa watalii
√Shughuli za ufukweni
√Picha kali
✓Kulala kambi
✓Beach party 🥳
✓ (Surprise)

VIVUTIO VIKUU VINAVYOPATIKANA SAADANI
•wanyama wanne kati ya watano wakubwa. (Tembo, simba, chui na nyati, ikiwa hakuna kifaru)
•Wami river ona viboko, mamba, ndege wa majini na misitu mizuri ya mikoko.
• Pwani ya Saadani ambapo tutafanya shughuli mbalimbali
•Ziara ya kijiji cha Saadani
Sasa unaweza kufanya booking MAPEMA na usisahau kuwashirikisha marafiki zako karibuni Idman safaris 🙏🏾#0768166735