
TRADITIONAL DANCE WORKSHOP
May 7 @ 10:00 am - May 15 @ 1:00 pm

MARAFIKI DANCE THEATRE LAB INAKULETEA WARSHA YA NGOMA ZA ASILI. Cc @marafikidancetheatrelab
NJO UJIFUNZE NGOMA YA ASILI “BUNUNGULE” ITAFUNDISHWA NA KIKUNDI CHA KISESA B DANCE KUTOKA MWANZA.
Warsha hii itanza itanza Tarehe: 7-15 Mei 2025 | Muda: 4:00 Asubuhi – 7:00 Mchana
Mahali: ASEDEVA TANZANIA
Jisajili sasa kuoitia tovuti ya ASEDEAVA [email protected] au kupitia WhatsApp: +255 754 325 213
Tuma jina, namba ya simu na ujumbe wa kutaka kushiriki.
HAKUNA KINGILIO | NAFASI ZA KUSHIRIKI NI CHACHE WAI SASA KUJI SAJILI.
Imedhaminiwa na kushirikiana na @utamaduni_camp @asedeva_tanzania na @kisesa_b
•
•
MARAFIKI DANCE THEATRE LAB PRESENTS A TRADITIONAL DANCE WORKSHOP.
Come and learn the traditional dance “BUNUNGULE” taught by the KISESA B DANCE group from Mwanza.
Dates: 7th–15th May 2025
Time: 10:00 AM – 1:00 PM
Venue: ASEDEVA KINONODONI MANYANYA.
Register now through the ASEDEVA website, by email at [email protected], or via WhatsApp: +255 754 325 213
Send your name, phone number, and a message expressing your interest in participating.
FREE ENTRY | LIMITED SPOTS AVAILABLE — REGISTER NOW!