
ONE SPECIAL CARD
June 6 @ 7:00 pm
Tsh.10,000
ONE CARD SPECIAL ni filamu inayochora taswira ya upendo, mamlaka, na ule wakati mtu anachagua kuacha kucheza kwa sheria za mtu mwingine.
Jiunge nasi kwenye uzinduzi rasmi tarehe 06 Juni, 2025
Little Theater – Dar Es Salaam
🎟️ Tiketi zinapatikana exclusively kupitia NILIPE App kwa shilingi elfu kumi tu 10,000/=.
Usikose!
See translation