
CAKE PAINTING & SIP
August 30 @ 11:00 am
Tsh.50,000
Umewahi kufikiria kuchora kwenye keki ki ubunifu huku una Sip vinywaji baridi au Wine nzuri?
Ukafurahia Chakula kitamu, Games, Music na Network ya maana.
Njoo kwenye Cake and Sip – tukio la ubunifu na furaha
📅 30 August 2025
📍 Yami Restaurant
⏰ Kuanzia Saa 5 asubuhi
📞 0759161785 | 0768323284 | 0776507648
Theme: Paint Your Imagination
Dress Code : Shades of Pink
Malipo *LIPA YA MIXX BY YAS* *15190142* JINA *BAKERS TALK LIMITED*