
- This event has passed.
STORY IN PLAY
October 2 @ 4:00 pm - 7:00 pm
Free
Jiunge nasi katika Kalam Salaam ya kipekee ambapo tutajadili na kucheza Bongopoly—mchezo wa kwanza wa bodi kwa Kiswahili unaochanganya maarifa, burudani na utamaduni wa Kitanzania.
Mwezeshaji wetu ataeleza asili ya mchezo huu, maudhui yake, na namna unavyochezwa—na zaidi ya hapo, utapata fursa ya kuushiriki moja kwa moja!
Ikiwa unapenda michezo, fasihi, au unapenda kujifunza kwa njia tofauti—hii ni nafasi ya kipekee ya kushuhudia fasihi ikifumbatwa ndani ya mchezo.
Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA. Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi #creationafricatanzania kwa habari zaidi. Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:
•
•
@singelimovement_
@ubt.tanzania
@ajabuajabu
@altaer_sp
@asedeva_tanzania
@dcmazanzibar
@mervkirep
@mkukinanyota
@rangigallerytz
@tzpunchline
@deja_vu_studios_
@singelimedia
#CreationAfrica #CreationAfricaTanzania #creationafricatz