Loading Events

BEER FESTIVAL!!

October 4 @ 6:00 pm

Tsh.5000

Venue

swiss garden
Kinondoni
Dar es salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0692459985

Details

Date:
October 4
Time:
6:00 pm
Cost:
Tsh.5000
Event Categories:
, , ,
BEER FESTIVAL🍺🍻🍺🍺

SEASON 20/2025 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🍺🍺🍺🍺 BACK TO BACK 🔥🔥🔥

JUMAMOS HII 4, OKTOBA,2025
Ni ile ile Event yetu pendwa ya kuitwa
BEER FESTIVAL.

Msimu huu TUNAEKUJA Kivingine kabisa Bila kusahau BIA ZOTE utazipata kwa Tsh 1000 tu yani BUKU BUKU 🔥#bukubuku

Hiii sio ya kukosa Tunaita Mwisho wa mwezi,4 Oktoba Wajanja wote Tunakutana katika Vibe 1 tu #swissgarden

Njoo Tukipata vibe la pamoja la mwanzo wa mwezi ukikutana na marafiki mbalimbali

#mwambiemwezionamwezioamwambiemwezie.

KTK moja na Mbili tutakuwa na SWISSGARDEN Dj’s pamoja na Surprise ya GUESTS DJ,

MLANGONI WADADA WOTE KIINGILIO 5K

Bila kusahau Tunakuwa na VIP TABLE reserve Table yako Mapema kupunguza Usumbufu

VIP TABLE ZIMEBAKI CHACHE

fore more information tupigie
0766666656/0622444447.