
- This event has passed.
JUMATANO GROOVE
October 8 @ 7:00 pm
Free
JUMATANO GROOVE #154
SINAUBI ZAWOSE (TZ) – Kigogo Music & Singeli
Singer-songwriter and master of traditional Gogo instruments like the zeze and ilimba, SinaUbi Zawose carries forward the legacy of Tanzania’s renowned Zawose family. His music blends ancestral rhythms with contemporary sounds, bridging cultures while preserving Gogo traditions.
With acclaimed releases such as Wichimaje, Welaa EP, and Gogohip — which reached the Top 20 on the World Music Charts Europe — he has toured extensively across Europe.
At just 28, SinaUbi continues to share Tanzanian rhythms with the world, promising a bright and innovative future for Gogo music.
❗ RECAP
Wednesday, 8th of October at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam – Le Jardin
🎟️ Free Entrance
___________________________________
[MUZIKI] JUMATANO GROOVE #154
SINAUBI ZAWOSE (TZ) – Muziki wa Kigogo & Singeli
SinaUbi Zawose ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, pia ni bingwa wa vyombo vya jadi vya Wagogo kama zeze na ilimba. Anaendeleza urithi wa kifamilia wa Zawose, familia mashuhuri ya Tanzania. Muziki wake unachanganya midundo ya mababu na sauti za kisasa, ukiunganisha tamaduni huku ukiendeleza mila za Kigogo.
Akiwa na nyimbo maarufu kama Wichimaje, Welaa EP na Gogohip — ambao uliingia kwenye Top 20 ya World Music Charts Europe — SinaUbi ametembelea na kutoa burudani katika nchi nyingi za Ulaya.
Akiwa na umri wa miaka 28 pekee, anaendelea kuusambaza muziki wa Kitanzania duniani kote, akiahidi mustakabali mzuri na wa ubunifu kwa muziki wa Kigogo.
❗ MUHIMU
Jumatano, tarehe 8 Oktoba saa 1:30 usiku
Katika Alliance Française ya Dar es Salaam – Le Jardin
🎟️ Kiingilio BURE”