
JUMATANO GROOVE- AFRO FUSION & BONGO FLAVA
October 15 @ 7:30 pm
Free
JUMATANO GROOVE #155
WELLE & THE BAND (TZ) – Afro Fusion & Bongo Flava
Born Abou Omary Mdewele, Welle is a Tanzanian Bongo Flava artist with a captivating voice and magnetic stage presence. His musical journey began at TaSUBa in 2016, leading to the release of his debut single Street Children in 2017, a heartfelt track that highlighted his passion for storytelling.
As a member of The Mafik, he contributed to major hits like Tunaanza Na Mungu and Chukua, before launching his solo career with songs such as My Love, widely shared on Audiomack, SoundCloud, and YouTube.
At just 25 years old, Welle is a rising star, fusing Afro Fusion with Bongo Flava energy, creating performances full of versatility, charm, and authentic Tanzanian vibes.
❗ RECAP
Wednesday, 15th of October at 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam – Le Jardin
🎟️ Free Entrance _______________________________
[MUZIKI] JUMATANO GROOVE #155
WELLE & THE BAND (TZ) – Afro Fusion & Bongo Flava
Welle, jina halisi Abou Omary Mdewele, ni msanii wa Bongo Flava kutoka Tanzania mwenye sauti ya kuvutia na uchezaji wa jukwaa unaoshangaza. Safari yake ya muziki ilianza TaSUBa mwaka 2016, na mwaka 2017 alitoa wimbo wake wa kwanza Street Children uliodhihirisha kipaji chake cha kusimulia hadithi.
Kama mshiriki wa The Mafik, alishiriki katika nyimbo maarufu kama Tunaanza Na Mungu na Chukua. Baada ya hapo, alianza safari yake ya kibinafsi na nyimbo kama My Love, ambazo zimepata mashabiki wengi kwenye Audiomack, SoundCloud na YouTube.
Akiwa na umri wa miaka 25 pekee, Welle anaibuka kama nyota mpya, akichanganya Afro Fusion na nguvu za Bongo Flava, akiwapa mashabiki burudani yenye mvuto na ladha ya kweli ya Kitanzania.
❗ MUHIMU
Jumatano, tarehe 15 Oktoba saa 1:30 usiku
Katika Alliance Française ya Dar es Salaam – Le Jardin
🎟️ Kiingilio BURE