- This event has passed.
CHRISMASS MARKET
December 5 @ 2:00 pm - 8:00 pm
Free
[CHRISTMAS MARKET] – 2025 EDITION !
Get ready for an afternoon full of festive cheer, creativity, and holiday shopping!
Join us at the Alliance Française of Dar es Salaam for a colourful Christmas Market featuring 45 vendors offering arts, crafts, gifts, fashion, food, drinks, and so much more.
A perfect moment to discover unique items, support local creators, and enjoy the warm end-of-year atmosphere.
📅 Friday, December 5, 2025
⏰ 2 PM – 8 PM
📍 Alliance Française DSM – Ali Hassan Mwinyi Rd (Behind Las Vegas Casino)
💸 Free Entry
Bring your friends and family for an afternoon of good vibes, great finds, and festive surprises!
✨ Check our Instagram page to discover the vendors: @af_dar __________________________ 🎄✨
CHRISTMAS MARKET – TOLEO LA 2025!
Karibu kwenye mchana wenye shamrashamra za msimu wa sikukuu, ubunifu na ununuzi wa zawadi za Krismasi!
Jiunge nasi katika Alliance Française ya Dar es Salaam kwa Christmas Market yenye rangi na furaha, ikiwa na wauzaji 45 watakaotoa bidhaa mbalimbali: sanaa, ufundi, nguo, zawadi, vyakula, vinywaji na mengine mengi.
Ni wakati muafaka wa kugundua vitu vya kipekee, kuunga mkono wabunifu wa ndani, na kufurahia msimu wa mwisho wa mwaka.
📅 Ijumaa, 5 Desemba 2025
⏰ Saa 8 mchana – 2 usiku
📍 Alliance Française DSM – Ali Hassan Mwinyi Rd (Nyuma ya Las Vegas Casino)
💸 Kiingilio Bure
Leteni marafiki na familia mjiburudishe na muziki, bidhaa tamu, na mood nzuri za sikukuu!
✨ Tazama ukurasa wetu wa Instagram kujua wauzaji watakao hudhuria: @af_dar“