CALL FOR ABSTRACTS
January 5, 2026 @ 8:00 am - 4:00 pm

Uhenga Collective invites writers, scholars, artists, poets, researchers, and cultural practitioners to contribute to a multigenre and multilingual anthology co-edited by Demere Kitunga, Diana Kamara, and Rehema Chachage. This anthology revisits and reinterprets the Dar es Salaam Intellectual Debates of the 1970s—and their afterlives—through decolonial, and intersectional feminist lenses.
Uhenga Collective inawaalika waandishi, wasomi, wasanii, washairi, watafiti, na watendaji wa tamaduni kuchangia makala katika antholojia ya lugha nyingi na tanzu mbalimbali inayohaririwa na Demere Kitunga, Diana Kamara, na Rehema Chachage. Antholojia hii inarejelea na kufakari Midahalo ya Kifikra ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya miaka ya 1970—na athari zake za baadaye kwenye: mitazamo ya kuondokana na ukoloni mamboleo, ukombozi wa wanawake kimapinduzi, mwingiliano wa mifumo kandamizi kama tabaka, rangi, nasaba nk.
@demerekitunga @dianakkamara @rehemachachage
Link in bio for more info