STRIKE THE BEAT BATTLE
January 10, 2026 @ 4:00 pm

We are very happy to support Dorine Mugisha’s second edition of Strike the Beat Battle, a platform for dancers to shine and showcase their talent. Following a one-week intensive workshop on Whacking, we will experience top Tanzanian dancers battling it out on stage.
There will be two categories to enjoy: a 1 vs 1 Whacking battle and a 2 vs 2 All Styles battle, open to all dance styles including, but not limited to, Hip Hop, Afro, Krumping, Whacking, and more.
Preliminary rounds will be held at 4:00 PM, with battles officially starting at 7:00 PM—make sure to be there for a WonDarful time!
—
Tunafurahi kuunga mkono kwenye toleo la pili la Strike the Beat Battle linaloandaliwa na Dorine Mugisha, jukwaa linalowawezesha wachezaji wa densi kung’ara na kuonesha vipaji vyao. Baada ya warsha ya wiki moja ya mafunzo makali ya Whacking, tutashuhudia wachezaji bora wa densi kutoka Tanzania wakipambana jukwaani.
Kutakuwa na makundi mawili ya kufurahia: mapambano ya Whacking ya 1 dhidi ya 1 na mapambano ya All Styles ya 2 dhidi ya 2, yaliyo wazi kwa mitindo yote ya densi ikiwemo (lakini siyo tu): Hip Hop, Afro, Krumping, Whacking, na mingineyo.
Raundi za awali zitaanza saa 10:00 jioni, na mapambano rasmi yataanza saa 1:00 usiku hakikisha unakuwepo kwa wakati wa WonDarful usiosahaulika!
The House of WONDAR is a project implemented by WONDARLAND Limited, Alliance Française of Dar es Salaam and Mouvements Migrateurs – with the support of Ambassade de France in Tanzania through the FEF Création Afrique fund (Sept. 2025–Aug. 2027).