WHAT NOW? – POETRY EVENT
February 26 @ 6:00 pm
Free
WHAT NOW?
A Poetry 255 Event is coming your way!✨
We welcome you to an evening of bold performances exploring change, transition, and what comes next.
Location:📍 Goethe-Institut
Date: 📅 26th February 2026
Time: ⏰ 6:00 – 10:00 PM
🎟️ FREE ENTRY
Come listen. Come learn. Come ask yourself….what now?!
⚠️ Kindly note: some performances may contain explicit content.
**Snacks and hot drinks will be available!
🔗Don’t forget to register your attendance on the link in bio!
Designed by @kiagraphymedialtd
//
KIFUATACHO?
Kaa mkao wa kula, tukikuletea tukio hili la kusisimua la kiushairi kutoka Poetry255!
Tunakukaribisha kujiunga nasi kwenye jioni ya maonyesho ya ushairi yanayogusia; mabadiliko, hali ya mpito, na yote yajayo.
Eneo:📍 Goethe-Institut
Siku: 📅 Alhamisi, Februari 26, 2026
Muda: ⏰ Saa 12:00 jioni – 4:00 Usiku
🎟️ HAKUNA KIINGILIO
Njoo usikilize. Ujifunze. Ujiulize….nini kifuatacho?!
⚠️ Tafadhali fahamu kuwa: baadhi ya kazi zinazowasilishwa zinaweza kutumia lugha ya watu wazima.
*Asusa pamoja na vinywaji vya moto vitakuwepo!
🔗Usisahau kujiandikisha mahudhurio yako kupitia kiungo (link) kwenye wasifu wetu!
Chapisho limetengenezwa na @kigraphymedialtd