SANAA BLAST FESTIVAL 2026
June 18 @ 10:00 am - June 20 @ 6:00 pm

Karibu kwenye kilele cha SANAA BLAST FESTIVAL 2026🔥🔥
🎬 18 Juni – Screening na Exhibition ndani ya SANAA STUDIO, Idara ya Sanaa Bunifu🎤
🎶🕺 19 & 20 Juni – fashion, dance, comedy na mengi zaidi ndani ya UDSM NEW LIBRARY PARKING LOT
Siku tatu. Jukwaa moja✅
Usije kusimuliwa kilichotokea. Njoo ushuhudie mwenyewe.
#SanaaBlastFestival2026#UDSM #CreativeArts