Loading Events

  • This event has passed.

LAST DANCE!!

July 13 @ 6:00 pm

Venue

Creative Arts, University of Dar es Salaam
Creative Arts, University of Dar es Salaam
Dar es Salaam,
+ Google Map
Google Map Link

Organizer

UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM
Phone:
0768734779
Email:
Jofleynicholaus@gmail.com

Details

Date:
July 13
Time:
6:00 pm
Event Category:

KARIBUNI KWENYE ONESHO MAALUM LA SANAA!

tunakukaribisha kushuhudia vipaji vya kipekee kutoka kwa wanafunzi wetu wa Theatre Arts katika onyesho lao. Kutakuwa na maonesho ya kusisimua ya Theatre Art Performance pamoja na Dance Choreography yaliyoandaliwa kwa ubunifu na umahiri mkubwa kutoka wanafunzi wa Theatre Arts.

Njoo uunge mkono wasanii wetu, ujionee vipaji vyao na kufurahia burudani ya hali ya juu.
đź“… Siku: Jumatatu ,13 Julai 2026
📍 Mahali: Dance stdio Creative Arts – UDSM
⏰ Muda: SAA 12 Jioni Hadi saa Saa 2 Usiku

#TheatreArt #DanceChoreography #PracticalExamination #CreativeArts #liveperformance