GRAND FINALE- KARAOKE WORLD CHAMPION

Amell In Dar Amell In Dar, Dar es Salaam, Dar es Salaam

🎤🏆 UNAKARIBISHWA | FAINALI KUU KWC TANZANIA 2026 Haya si mashindano ya kawaida ya Karaoke. Hii ni VITA YA KUIPEPERUSHA BENDERA. 🇹🇿 Baada ya kupokea usajili wa vipaji kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania kupitia mtandao, vipaji 15 bora vimepata nafasi ya kusimama kwenye jukwaa moja na kuwania heshima kubwa — kuwakilisha Tanzania kwenye Karaoke World […]

Free