MARAFIKI NIGHT LIVE!!
September 11 @ 7:00 pm
Tsh10,000
MARAFIKI NIGHT LIVE — SEPTEMBER EDITION! 🔥
Kinondoni Manyanya tunakutana kwa usiku mwingine wa muziki, marafiki, vibes na burudani kali kutoka kwa wasanii wetu! 🎶
Na safari hii tunapanda stage na mtu wa kipekee kabisa…
WHO IS MAN KIFIMBO 🇹🇿
Kutoka Bagamoyo, Man Kifimbo ni msanii wa Afro Reggae anayechanganya ladha ya Afro Reggae na midundo ya ngoma za asili za Tanzania, akitengeneza sauti yenye nguvu, utamaduni na utambulisho wa Kiafrika. 🎶
Man Kifimbo pia ni mtengenezaji wa ngoma za asili, kutoka kuchonga mbao mpaka kutengeneza ngoma inayokamilika. Pia ni mwalimu wa ngoma na densi, akitumia sanaa na utamaduni kuwaunganisha vijana, kuelimisha jamii na kuhamasisha kizazi kipya
Akifika kwenye stage, tegemea energy kubwa, interaction na vibes za utamaduni wa Kitanzania ambazo haziachi mtu amekaa!
THIS IS NOT JUST A NIGHT OUT — IT’S A NIGHT OF MUSIC, CULTURE & CONNECTION!
11 SEPTEMBER 2026
ASEDEVA – KINONDONI MANYANYA
ENTRANCE TZS 10,000/=
USIKOSE! TUNAKUTANA MARAFIKI NIGHT LIVE! 🔥🎶
#MarafikiNightLive #ManKifimbo #MarafikiArtsFestival #ASEDEVA #KinondoniManyanya AfroReggae LiveMusic TanzaniaMusic Bagamoyo CultureAndMusic MarafikiVibes