JUMATANO GROOVE- DOMOKAYA
September 16 @ 7:30 pm
Free
JUMATANO GROOVE #187: Domokaya (TZ)
We are bringing you a special music concert honouring the late Mandojo and celebrating his significant contribution to Tanzanian music.
Through live performances, Domokaya will present songs loved by fans alongside new interpretations of some of his works, while sharing the journey, legacy, and influence he left on generations of artists and music lovers.
The show aims to bring together fans, the music community, and the wider public for an evening of remembrance, entertainment, and tribute to an artist who left a lasting mark on Tanzanian music.
❗ RECAP
📅 Wednesday, 16th September 2026
⏰ 7:30 PM
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Free Entrance
——————————————-
🎵 [MUZIKI] JUMATANO GROOVE #187: Domokaya (TZ)
Tunawaletea tamasha maalum la muziki kwa heshima ya marehemu Mandojo, likisherehekea mchango wake mkubwa na wa kipekee katika muziki wa Tanzania. ❤️🎶
Kupitia maonyesho ya moja kwa moja, Domokaya atawasilisha nyimbo zilizopendwa na mashabiki pamoja na tafsiri mpya za baadhi ya kazi zake, huku akisimulia safari yake ya muziki, urithi aliouacha, na ushawishi wake kwa vizazi vya wasanii na wapenzi wa muziki.
Tamasha hili linalenga kuwakutanisha mashabiki, wadau wa muziki na umma kwa ujumla kwa ajili ya jioni ya kumbukumbu, burudani na heshima kwa msanii aliyeacha alama ya kudumu katika muziki wa Tanzania. 🕊️🎶
❗ TAARIFA MUHIMU
📅 Jumatano, 16 Septemba 2026
⏰ Saa 1:30 usiku
📍 Le Jardin – Alliance Française de Dar es Salaam
🎟️ Hakuna Kiingilio