KARAOKE NIGH!!
September 26 @ 8:00 pm
Free
karaoke Saturday imewadia
Jumamosi yako iwe ya muziki, furaha na burudani isiyo na kikomo. Njoo uungane nasi Nefaland Hotel Garden Bar kwa usiku maalum wa Karaoke unaoongozwa na Dr Ken Music Therapy.
🎶 Muziki mzuri
🍹 Vinywaji baridi
🍽️ Chakula kitamu
🚗 Maegesho Bure
🛡️ Ulinzi wa Kutosha
📍 Nefaland Hotel Garden Bar
🕗 Jumamosi kuanzia saa 2:00 usiku
Shika mic, imba nyimbo zako pendwa, na ufurahie usiku wa kipekee pamoja na marafiki