CALL FOR FILMMAKERS
October 15 @ 8:00 am - 5:00 pm

Every filmmaker has an idea that keeps them up at night. Maybe it lives in a notebook, a voice note, or a hard drive. It’s time to give that film a real shot.
Sinema Mamboleo is a 10-month short film development and production programme for Tanzanian filmmakers, designed to help strong ideas grow into films and support filmmakers throughout the journey.
Who should apply?
Tanzanian citizens with at least one directing credit on a festival, cinema, TV or VOD release.
Deadline: 15th October 2026
Scan the QR code or use the link in our bio to apply.
Know a Director/Writer who should see this? Tag or share this with them
.
Sinema Mamboleo is organised by Kijiweni Productions and Alliance Française Dar es Salaam, with support from the Création Africa Fund, the Embassy of France in Tanzania, and the Embassy of Switzerland in Tanzania.
#SinemaMamboleo #CreationAfrica #TanzanianFilmmakers #kijiweniproductions #TanzanianCinema
Kila mtengeneza filamu ana wazo moja linalomnyima usingizi. Huenda linaishi kwenye daftari, simu au hard drive. Huenda sasa ni wakati wa kuipa filamu hiyo nafasi.
Sinema Mamboleo ni programu ya miezi 10 ya maendeleo na uzalishaji wa filamu fupi kwa watengeneza filamu kutoka Tanzania, inayolenga kusaidia mawazo mazuri kukua na kuwa filamu, pamoja na kuwaunga mkono watengeneza filamu katika safari yao.
Nani anaweza kuomba?
Raia wa Tanzania mwenye angalau filamu moja aliyoiongoza na kuonyeshwa kwenye tamasha, sinema, TV au kidigitali.
Mwisho wa kutuma maombi: 15 Oktoba 2026.
Skani QR code au tumia link kwenye bio kuomba.
Unamjua Mwandishi/Mwongozaji anayestahili? Mtag au mtumie ujumbe huu.
Sinema Mamboleo inaandaliwa na Kijiweni Productions na Alliance Française Dar es Salaam, kwa msaada wa Création Africa Fund, Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania, na Ubalozi wa Uswisi nchini Tanzania.