Loading Events

  • This event has passed.

BONGO MUSIC AWARDS 2023

January 20, 2023 @ 6:00 pm - 11:30 pm

Tsh10000

Venue

Kohath Music
Kohath MUSIC HOUSE Kijitonyama
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0688 636 162

Organizer

Kohath Music
Phone:
0688 636 162
Email:
rkohath@gmail.com
View Organizer Website

Details

Date:
January 20, 2023
Time:
6:00 pm - 11:30 pm
Cost:
Tsh10000
Event Category:
Website:
http://www.mimossastudios.com

Other

Area(Town/City)
Dar es salaam

Tuzo za Bongo Music Awards ni Tuzo ambazo zinaandaliwa na Kampuni ya Millennium Stars Entertainment kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sanaa Nchini Tanzania.

Lengo kuu la Tuzo za Bongo Music Awards ni kutoa hamasa na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wasanii wa Tanzania katika kukuza Sanaa na muziki wa Tanzania kimataifa. Tuzo hizi zitakuwa zikitolewa mara moja kila mwaka katika tukio kubwa litakalowakutanisha wasanii mbalimbali na wapenda burudani.