
- This event has passed.
Marafiki Night
March 3, 2023 @ 8:00 pm
Tsh10000
Marafiki Night is coming save the date. Karibu Sana the same place, Same positive vibe, good people, good music, good food and drinks, good and quality live music performance. Cc @masimbihussein
_________________________
Wadau wote wa muziki mzuri ASEDEVA inawaletea tena “MARAFIKI NIGHT LIVE” itakayofanyika tarehe 3.03.2023 kuanzia saa 2:00 usiku hadi saa 6:00 usiku, kwa kiingilio cha Tsh 10000 TU.
Tupigie
0754325213
Au fika Ofisini
ASEDEVA, Kinondoni Manyanya
Ikungwi St.