- This event has passed.
BLACK ALLEY
March 15, 2023 @ 9:30 am - 1:00 pm
Freekwa wanamuziki na wasanii wote, pata wasaa wa kukutana na kikundi cha @weareblackalley kutoka Washington DC Marekani. Tunapenda kutoa shukurani kwa ubalozi wa Marekani Tanzania @usembassytz kwa kuwezesha ujio wa Black alley.