- This event has passed.
BONGO FLAVA HONORS WITH JAY MORE AND DJ BONILUV
May 26, 2023 @ 7:00 pm - 11:00 pm
Tsh20000BONGO FLAVA HONORS with JAY MOE and Special Appereance of DJ BONILUV
Band performance by Swahili Blues Band
Don’t miss The Golden Era event, when every last Friday of the month a Bongoflava Legandary artist/group will perform on stage with live band. From single artists to groups that dominated airwaves with their popular hits from late 90s !
For this fourth edition, we’ll welcome Jay Moe, who is one of Tanzania’s most popular and respected artists in the bongo flava scene.
RECAP
On Friday, 26th of May at 7:30pm
Doors open at 7pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
20,000TZS.
_____________________________________
[MUZIKI] BONGO FLAVA HONORS na JAY MOE Pamoja na DJ BONILUV
Wakiwa na bendi ya Swahili Blues Band
Usikose kufika katika tamasha la muziki wa dhahabu ambapo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi msanii/kundi la Bongoflava Legandary watatumbuiza jukwaani na live band. Kuanzia msanii mmoja hadi vikundi ambavyo vilitawala na kupata umaarufu kwa vibao vyao mwishoni mwa miaka ya 90 !
Kwa toleo hili la tatu, tutamkaribisha Jay Moe !!!! Jay Moe ni mmoja kati ya wasanii maarufu na wanaoheshimika nchini Tanzania katika anga ya bongo flava.
Siku ya Ijumaa, tarehe 26 Mei saa 1:30 jioni
Milango inafunguliwa saa 1 jioni
Katika Alliance Française ya Dar es Salaam
20,000TZS.