Loading Events

  • This event has passed.

KALAM SALAAM

July 6, 2023 @ 6:00 pm - 10:30 pm

Free

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
July 6, 2023
Time:
6:00 pm - 10:30 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es salaam

KALAM SALAAM, Sherehe ya kila mwezi ya fasihi ya kiswahili!

Katika kusherekea siku ya Kiswahili ulimwenguni, Mkuki na Nyota Publishers inakuletea tukio la pili la Kalam Salaam litakalojumuisha majadiliano ya kusisimua, burudani kutoka kwa wasanii wa hip-hop, washairi mahiri na waandishi maarufu. Vilevile, utapata fursa ya kushiriki kwenye Open Mic yenye burudani ya aina yake. Usikose kujiunga nasi katika kusherehekea utajiri wa lugha hii adhimu!

RECAP
Siku ya Alhamisi, 6 Julai saa kumi na mbili na nusu jioni
Katika Alliance Française ya Dar es Salaam
KIINGILIO: BURE, Karibuni Nyote!

______________

[LITERATURE] KALAM SALAAM, A Monthly Celebration of Swahili Literary Culture

Save the Date! Join us on July 6th for the second edition of Kalam Salaam, a vibrant celebration of International Swahili Day! Immerse yourself in the captivating world of Swahili literature as we delve into the power of the Swahili language. Experience an exciting panel discussion featuring hip-hop artists, a talented poet, and renowned writers. Get ready to be enchanted by a mesmerizing poetic performance, as we honor the beauty of Swahili language and literature. Don’t miss this unforgettable cultural celebration!

RECAP
On Thursday, 6th of July at 6:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance