
- This event has passed.
MUVI KALI -EN CORPS (RISE) DIRETCED BY CÉDRIC KLAPISCH (FR)
September 11, 2023 @ 8:00 pm
Free
MUVI KALI – En Corps” (”Rise”) directed by Cédric Klapisch (FR)
Synopsis : Élise thought she had the perfect life: an ideal boyfriend and a promising career as a ballet dancer. It all falls apart the day she catches him cheating on her; and after she suffers an injury on stage, it seems like she might not be able to dance again…
Movie in French with Engish subtitles
RECAP
On Monday, 11th of September at 8pm
At the Alliance Française of Dar Es Salaam
Free Entrance
_______________________________
[FILAMU] MUVI KALI – – En Corps (Rise) ikiongozwa na Cédric Klapisch (FR)
Muhtasari : Élise alidhani ana maisha mazuri sana yaliyojikalisha kila idara, katika mahusiano alipata mwanaume sahihi na kazi iliokua ndoto yake na anayoipenda kama mcheza bale wa kike. Ila kila kitu kiliharibika katika maisha yake baada ya kugundua kwamba mwenza wake amemsaliti na baada ya kuumia kwenye jukwaa wakati wa kazi yake na kutoweza kucheza tena kutokana na ajali hiyo.
RECAP
Siku ya Jumatatu, tarehe 11 septemba saa mbili usiku
Alliance Française ya Dar Es Salaam
Kiingilio cha Bure