- This event has passed.
MABANDIDU – EPISODE 30
September 29, 2023 @ 7:00 pm - 11:30 pm
Tsh15000 – Tsh50000Washirika wa Afya Duniani wametaja “Domo zege Syndrome” kuwa Sabau ya Vijana wa Form 2 kujifanya Wagumu Don’t Care”😁. Mabandidu na wanajamii wenye mapenzi mema 29th September tutakua na ibada kubwa ya uponyaji kwa njia ya vicheko, roho ya kusita na kisebusebu zitafunguliwa!
Regular 15K & VIP 25K & VVIP 50K
Ticket zinapatikana @otapptz
Cinemax century
✅Mlimani City
✅Dar Free Market
✅Aura Mall