Loading Events

  • This event has passed.

42nd BAGAMOYO INRETNATIONAL FESTIVAL FOR ART AND CULTURE

October 26, 2023 - October 28, 2023

Free

Venue

TASUBA College of Arts
Bagamoyo Tanzania, United Republic of + Google Map
Phone:
0232440032
View Venue Website

Organizer

TASUBA
Phone:
255 023 2440149
View Organizer Website

Details

Start:
October 26, 2023
End:
October 28, 2023
Cost:
Free
Event Categories:
, , ,

Other

Area(Town/City)
Bagamoyo

WITO KWA WASANII KUSHIRIKI TAMASHA LA 42 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) inapenda kuwakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kwa ujumla kuomba kushiriki kwa kufanya maonesho katika Tamasha la 42 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo litakalo fanyika katika viwanja vya TaSUBa – Bagamoyo kuanzia tarehe 26 hadi
28 Oktoba, 2023.

Tamasha hili limekuwa na malengo mbalimbali ikiwemo kuendeleza na kudumisha utamaduni wa Mtanzania, kubadilishana uzoefu na kujifunza kutoka kwa wasanii na vikundivya ndani na nje ya Tanzania kupitia warsha na maonesho mbalimbali.

Tamasha hili hujumuisha aina mbalimbali za sanaa kama vile Ngoma, Maigizo, Muziki, Sarakasi, Mazingaombwe, Vichekesho, Filamu na maonesho ya sanaa za ufundi (Exhibitions).

TaSUBa inawakaribisha wasanii na vikundi vya sanaa kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania na nje ya Tanzania ili kuweza kushiriki katika Tamasha hili kongwe la sanaa na utamaduni wa Mtanzania.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa; Baruapepe:[email protected] au [email protected]

Tovuti: www.tasuba.ac.tz

Simu: +255 763 408 792, +255 655 840 405, na +255 713 756 168.