Loading Events

  • This event has passed.

BISKUTI 3000 – DANCE

November 21, 2023 @ 7:00 pm

Free

Venue

Goethe-Institut
Goethe-Institut, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0222134800
View Venue Website

Organizer

Goethe Institute
Phone:
+255 22 213 4800
Email:
info-daressalaam@goethe.de
View Organizer Website

Details

Date:
November 21, 2023
Time:
7:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Bikutsi 3000 – Uchezaji wa ngoma za asili ambao unadhihirisha masimulizi ya performance which unfolds the narrative of a futuristic, post-imperial Africa.

Mchezaji wa ngoma za asili Blick Bassy anawasilisha ilani ya muziki na ufeministi, akicheza ngoma kama kitendo cha kupinga, wanawake wakiwa mstari wa mbele katika jamii.Malkia wa Nkolmesseng, iliyopo Kamerun ya kisasa , anaongoza upinzani wa karne nyingi, akitumia ngoma kama silaha pekee ya kukomboa bara la Afrika. Sakata hili la ufeministi linawatazamia wanawake kama vichochezi vya maendeleo ya jamii , ikitia ukungu kati ya hadithi za kubuni na ukweli wa kihistoria, yote ndani ya maeneo yaliyotawaliwa na koloni, ikichora taswira ya Afrika inayotazamiwa mbele, iliyo huru.

Ikishirikiana na Goethe-Institut Cameroon na Institut français ya Yaoundé, pamoja na msaada kutoka kwa Franco-German cultural fund, uzalishaji wa mwanzo wa Bikutsi 3000, ulionyeshwa hapo awali katika Musée ya Quai Branly, Paris kama sehemu ya onyesho la Sur la Route des Chefferies exhibition mwezi juni 2022.

Imebadilika na kuwa toleo la pan-African , likishirikisha wacheza ngoma kutoka Tanzania, Kamerun, Togo, na Rwanda. Mkusanyiko huu utatangaza tamaduni tofauti tofauti za ngoma za asili na tamaduni za mataifa yao.

Novemba 2023, wachezaji ngoma wanne mashuhuri, wanaoitambulisha Togo, Kamerun, Tanzania, na Rwanda,watapewa fursa kuiwasilisha Bikutsi 3000, kila mmoja wao akikazia ngoma yake ndani ya nchi hizo . Kwa Tanzania atakayeongoza ni Irene Themistocles Rugakingira. Kila nahodha huchukua jukumu la katika utendaji wa mwisho katika nchi yao husika.

“Bikutsi 3000” inawalenga vijana wa kizazi kipya cha Africa , ikilenga kuwasha fikra juu ya urithi , utambulisho na uwezeshaji wa baada ya ukoloni.
Onyesho la Bikutsi 3000 Tanzania ni jitihada ya ushirikiano inayohusisha Goethe-Institut Tanzania, Alliance Française ya Dar es Salaam pamoja na Muda Africa.

jumanne, tarehe 21 ya Novemba saa 1:00 jioni
Mahali: Goethe-Institut Dar es Salaam
Hakuna kiingilio , Viti vichache vinapatikana