Loading Events

  • This event has passed.

KALAM SALAAM – FARADHI YA MOYO

February 1, 2024 @ 7:00 pm

Free

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
February 1, 2024
Time:
7:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Salaam wapenzi wa Kalaam! Wapenzi wa fasihi, baada ya mapumziko mafupi ya kunoa visu vyetu vya ubunifu, tunafuraha na shauku kuwarudisha nyote kwenye usiku wetu wa fasihi! Jitayarishe kuzama ndani ya mito ya fasihi; vuta makasia kwa nguvu na ubunifu wako chanya. Hatutasherehekea tu kipaji chako; bali tutavaa nyavu nzima ya ubunifu wako na kuanika kwenye jukwaa letu la Kalam Salaam. Tusheherekee fasihi kwa namna ya kitofauti kabisa. Kutoka kwenye mazungumzo ya kuvutia hadi maonyesho yanayogusa roho, hakika hili si tukio tu bali ni usiku wa sanaa na burudani tele. Nyote mnakaribishwa!

Kalam Salaam, Februari 1, 2024: Uzinduzi wa Kitabu: “Faradhi ya Moyo” cha Anna Samwel Manyanza: karibu wapenzi wote wa fasihi ya Kiswahili, utajipatia nakala yako iliyo sainiwa na utaburudika na wanasihi wengine!

_____________________________

Greetings, Kalam enthusiasts! Devotees of literature, after a brief hiatus to sharpen the blades of our creativity, we’re buzzing with excitement to welcome you back to our literary night. Get ready to dive into literature and unleash your creativity! We won’t just celebrate your talent; we’ll drape the entire tapestry of your creativity and showcase it on our Kalam Salaam stage. Welcome to celebrate literature in a completely different way. From engaging conversations to soul-stirring performances, this is not just an event — it’s a night of words, thoughts, and art that will entertain you.

Kalam Salaam, 1st February, 2024: A Book Launch: Faradhi ya Moyo by Anna Samwel Manyanza: come have a conversation with the author, get your book signed and maybe get a free giveaway!