Loading Events

  • This event has passed.

POP – UP MARKET

April 13

Tsh50,000

Venue

Rafikiz
RAFIKIZ, Dar es Salaam
Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0715000565

Organizer

XOXO CONCERT
Phone:
758550421

Details

Date:
April 13
Cost:
Tsh50,000
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Je wewe ni mfanya biashara na unatamani kuikuza biashara yako, kukutana na wateja wapya na kupata connection itakayosaidia biashara yako?

Hii ni yakwako.

Kwa 50,000 tuu unaweza ku-book space kwenye event yetu itakayofanyika tarehe 13 April siku ya Jumamosi pale Rafikizi, Mwai Kibaki Road @rafikiz_tz

Kutakua na ofa kabambe na garage sale
Una ngoja nini?
Tupigie sasa kupitia +255 758 550 421 leo na kuweka nafasi yako.

N.B: Nafasi zimebaki chache. Lipia mapema