- This event has passed.
JUMATANO GROOVE – COMMEMORATING BOB MARLEY – JHIKOMAN (TZ)
May 15, 2024 @ 6:30 pm
FreeNoJUMATANO GROOVE – COMMEMORATING BOB MARLEY – JHIKOMAN (TZ) @jhikoman
Jhikoman is a well-known Tanzanian reggae artist. He has served as an active musician since 1994 and toured extensively in both Europe and Africa. He combines acoustic reggae with African music. Jhikoman sings in English, Swahili and mother tongue Kinyasa.
His music provides him a voice to raise awareness about social oppression and injustice. He uses it as a medium for communicating messages of peace, love and unity.
RECAP
On Wednesday,15th of May 7:30pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance Every Wednesday
_________
[MUZIKI] JUMATANO GROOVE – KUMKUMBUKA BOB MARLEY – JHIKOMAN (TZ)🎶
Jhikoman ni msanii maarufu wa reggae wa Kitanzania. Amekuwa akifanya kazi kama msanii tangu mwaka 1994 na kuzuru sehemu mbalimbali sana Ulaya na Afrika. Anachanganya reggae ya acoustic na muziki wa Kiafrika. Jhikoman anaimba kwa Kiingereza, Kiswahili, na lugha yake ya asili, Kinyasa.
Muziki wake unampa sauti ya kuelimisha kuhusu ukandamizaji wa kijamii na udhalimu. Anautumia kama njia ya kuwasilisha ujumbe wa amani, upendo na umoja.
KUMBUSHO
❗ Jumatano, tarehe 15 Mei, saa 12:30 jioni
Kwenye Alliance Française ya Dar es Salaam
Hakuna Kiingilio kila Jumatano