
- This event has passed.
A BOY WITH A PEN – MOBI ARTS 2025
October 10 @ 7:00 pm

Known as “A Boy with a Pen,” Penboy is a multi-award-winning and internationally acclaimed spoken word artistwhose work amplifies the voices of the vulnerable and marginalized across the globe.🎙️ “I envision digital spaces that promote and valorize freedom of expression, especially for underrepresented groups,”he says — and we can’t wait to experience his words live!
📅 Friday, 10 October 2025
⏰ 7:00 PM
📍 Goethe-Institut, Dar es Salaam
Don’t miss this powerful evening of poetry, expression, and connection!
*** Jiandae kwa Ijumaa hii, tarehe 10 Oktoba 2025, tunapomkaribisha @penboy_official kutoka Cameroon, msanii wa tatu wa MobiArts kuonyeshwa hapa Dar! 🎤
Anayejulikana kama “A Boy with a Pen,” Penboy ni mshairi wa kimataifa aliyeshinda tuzo nyingi, anayejikita katika kuinua sauti za walio hatarini na waliotengwa duniani kote.
🖋️ “Ninaona nafasi za kidijitali zinazokuza na kuthamini uhuru wa kujieleza, hasa kwa makundi yasiyopewa nafasi,”anasema — na hatuwezi kusubiri kusikia maneno yake mubashara!
📅 Ijumaa, 10 Oktoba 2025
⏰ Saa 1:00 usiku
📍 Goethe-Institut, Dar es Salaam
Usikose usiku huu wa ushairi, hisia, na uhuru wa kujieleza!