
A NEST OF DANCE
September 18 @ 7:00 pm
Free
-
IMERUDI TENA!! 🙌🏾 KIOTA CHA DANSI: Msimu wa Tatu✨ tarehe 18 Septemba 2025 | Saa 1 Jioni | @goethetanzania 🎉🎉✨✨
Nantea Dance Company kwa kushirikiana na Goethe-Institut Tanzania wanakuletea Msimu wa Tatu wa Kiota cha Dansi.
Msimu huu tutaangazia miaka 25+ ya dansi za kisasa Tanzania. Tukiwa tunasherehekea na kuipatia heshima historia ya dansi pamoja na waanzilishi, walimu na wabunifu waliowezesha dansi kuwa taaluma na ajira katika nchi yetu ya Tanzania.
Usiku wa maonesho ya dansi, hadithi na mdahalo wa vizazi tofauti, chini ya kauli mbiu: “Miaka 25 ya Dansi Za Kisasa Tanzania – 25 Years of Contemporary Dance in Tanzania,”.
✨ Kiingilio ni bure. Wote mnakaribishwa 🎉
_____________________________________________
✨IS BACK AGAIN!!🙌🏾 KIOTA CHA DANSI: Third Edition ✨September 18th, 2025 | 7PM | @goethetanzania 🎉🎉✨✨
Nantea Dance Company and Goethe-Institut Tanzania proudly present the third edition of Kiota cha Dansi – A Nest of Dance.
This edition celebrates 25 years of contemporary dance in Tanzania, honoring pioneers who shaped dance as a profession.
Under the theme “Miaka 25 ya Dansi Za Kisasa Tanzania – 25 Years of Contemporary Dance in Tanzania,” A night of performances, storytelling, and a panel discussion connecting generations.
✨ Free entry. All welcome!
@abeneko_ @pili_maguzo @aloycemakonde @msamiru @t_africa_dance @upendomanase01
#KiotaChaDansi #TanzaniaDance #25YearsOfDance #DanceStories #DanceLegacy #NanteaDance #goethetanzania