- This event has passed.
A NIGHT FOR SHABAAN ROBERT- KALAM SALAAM
May 2, 2024 @ 7:00 pm
Free[LITERATURE] Kalam Salaam : A monthly celebration of swahili literary culture. 🪶(Swahili only)
Calling all book lovers and literary enthusiasts! Join us for an eye-opening panel discussion and an open mic featuring poetry and spoken word. Karibu!
RECAP
On every first Thurday of the month at 7:00pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance
______________
[LITERATURE] Kalam Salaam : Sherehe ya kila mwezi ya fasihi ya ksawhili. 🪶(Lugha itakayotumika ni Kiswahili)
Wito kwa wapenzi wa vitabu na wapenzi wa sanaa ya fasihi! Jiunge nasi kwa mjadala wa kusisimua na kipindi cha “open mic” kikiwa na mashairi na maneno ya kusemwa.
Kumbusho:
Kila Alhamisi ya kwanza ya mwezi saa 1:00 jioni
Alliance Française ya Dar es Salaam
Hakuna Kiingilio