A night of Oral Storytelling
April 9 @ 7:00 pm - 7:30 pm

Hadithi Hadithi
Baada ya kimya cha muda mfupi, Kalam Salaam inawaletea usiku wa hadithi hadithi ambapo hadhira itashiriki kwa kusimulia hadithi na kusikiliza hadithi kutoka watu wengine, kuchangia na kuuliza maswali baada ya masimulizi.
Nafasi za kushiriki kama msimuliaji ziko 5 tu kwa wale watakaowahi kuomba nafasi hiyo. Baada ya hapo kutakuwa na kipaza huru, na burudani nyingine.
Njoo tuenzi na kukumbushana jioni za hadithi za babu na bibi zetu katika jukwaa la Alliance Francaise, Dar es Salaam.
Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA. Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi #creationafricatanzania kwa habari zaidi. Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:
•
•
@singelimovement_
@ubt.tanzania
@ajabuajabu
@altaer_sp
@asedeva_tanzania
@dcmazanzibar
@mervkirep
@mkukinanyota
@rangigallerytz
@tzpunchline
@deja_vu_studios_
@singelimedia
#CreationAfrica #CreationAfricaTanzania #CreationAfricaTz