
AI & LITERATURE
April 3 @ 7:00 pm
Free
Akili Mnemba inaandika vitabu. Akili Mnemba inasimulia hadithi. Je, inaweza kubuni? Katika Kalam Salaam hii, tutajadili jinsi Akili Mnemba inavyoathiri fasihi—Je, ni hatima ya usimulizi wa hadithi au ni mwelekeo wa muda tu? Jiunge nasi kwa mjadala wa moja kwa moja na Akili Mnemba!
Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA. Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi #creationafricatanzania kwa habari zaidi. Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:
•
•
@singelimovement_
@ubt.tanzania
@ajabuajabu
@altaer_sp
@asedeva_tanzania
@dcmazanzibar
@mervkirep
@mkukinanyota
@rangigallerytz
@tzpunchline
@deja_vu_studios_
*@singelimedia*
*#CreationAfrica #CreationAfricaTanzania #CreationAfricaTz*