
BAKERS PICNIC DODOMA
October 4 @ 9:00 am - 4:00 pm
Tsh.30000 β Tsh.50000
Sasa tunakuletea Bakers Picnic β Dodoma Edition!
π Venue: New Generations Hall, Dodoma
π
Tarehe: Jumamosi, 4 Oktoba 2025
β° Muda: Kuanzia saa 3:00 asubuhi β 10:00 jioni
π¨ Theme: Sweet & Colourful
Utarajie π
β
Michezo ya kufurahisha (blindfold decoration, taste-the-flavour, sip & dare π²)
β
Cake tasting za aina mbalimbali π°
β
Muziki, burudani na zawadi kibao πΆπ
β
Nafasi ya kukutana na mabakers na foodies kutoka Dodoma na Dar
β
οΈ Zawadi kwa washindi
π Tickets zinapatikana sasaΒ @tukiio
Ukija na keki kuanzia Kg 1: TZS 10,000
Bila keki Tzs 20,000
Watoto Tzs 5,000
Meza ya biashara Full 50,000
Meza ya kushare wawili 30,000 kwa mmoja
Group Offer: Nunua 5, lipa 4 tu moja Buree
π Kwa mawasiliano & tiketi:
0759 161 785 | 0776 507 648 | 0768 323 284
π§ bakerstalktz@gmail.com
π² IG:Β @bakerstalktz