- This event has passed.
BASATA BODABODA VIBES
June 1, 2024 @ 4:00 pm
Free-
Tukio la Basata vibes Dar es salaam litafanyika wilayani Ilala kwa lengo la kutafuta vipaji kwa maafisa Usafirishaji Al maarufu Kama Bodaboda. Tukio linatatibiwa na BASATa kwa kushirikiana na Kituo çha utamaduni cha ufaransa.