- This event has passed.
BINTI SANAA INAWEZEKANA
July 29, 2023 @ 9:00 am - 6:30 pm
FreeFURSA KWA WANAWAKE WENYE VIPAJI VYA MUZIKI (KUIMBA AU KUPIGA VIFAA)
Mradi wa BINTI SANAA ‘Inawezekana’ una lengo la kunyanyua vipaji vya wanawake kwa kutoa mafunzo ya muziki bure na kuwaunganisha na fursa mbalimbali katika tasnia hii. Walengwa ni Wanawake wenye vipaji vya muziki ambao wanaishi Dar es salaam na Bagamoyo.
Usahili/Audition kwa Dar es salaam itafanyika tarehe 29/07/2029
Mahali ni: Kijiji cha Makumbusho
Muda ni saa 3 asubuhi