- This event has passed.
BONGO FLAVA HONORS WITH MR NICE
January 26, 2024 @ 7:30 pm
Tsh20000BONGO FLAVA HONORS with MR.NICE and Special Appearance of DJ BONILUV
Band performance by Swahili Blues Band
Don’t miss The Golden Era event, when every last Friday of the month a Bongoflava Legandary artist/group will perform on stage with live band. From single artists to groups that dominated airwaves with their popular hits from late 90s !
For this new edition, we’ll welcome MR.NICE
RECAP
On Friday, 26th of January at 7:30pm
Doors open at 7pm
At the Alliance Française of Dar es Salaam
20,000TZS.
___________________________________________
[MUZIKI] BONGO FLAVA HONORS na MR.NICE pamoja na DJ BONILUV
Wakiwa na bendi ya Swahili Blues Band
Usikose kufika katika tamasha la kusisimua, ambapo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi msanii/kikundi cha wanamuziki wakongwe watatumbuiza jukwaani wakiwa na live band. Kuanzia msanii mmoja hadi vikundi ambavyo vilitawala kwa umaarufu mwishoni mwa miaka ya 90 kwa ngoma zao kali! Kwa toleo hili jipya , tutamkaribisha MR.NICE
Siku ya ijumaa, tarehe 26 ya mwezi Januari saa 1:30 jioni
Milango itakuwa wazi kwanzia saa moja jioni
Mahali ni Alliance Française ya Dar es Salaam
20,000TZS.