
BOOK LAUNCH
August 14 @ 4:30 pm - 7:30 pm

Mamlaka, mapenzi, usaliti na kisasi.
Jiunge nasi kwenye uzinduzi rasmi wa kitabu Sankara wa II cha @lubacha_the_author utakaofanyika TPH Bookshop, 24 Samora Avenue, kuanzia saa 10:30 jioni.
Kitabu hiki kinaelezea safari ya Meja Jenerali (MJ) mwenye ndoto kubwa za mafanikio, lakini anazama katika giza la kisasi baada ya mapenzi kuvunjika na siri nzito kufichuka.
Mahali: TPH Bookshop, 24 Samora Avenue
Muda: Saa 10:30 jioni – Saa 1:30 Usiku
Tarehe: 14/08/2025
Kitabu kitapatikana na kusainiwa na mwandishi.
#SankaraWaII #UzinduziWaKitabu #TPHBookshop #FasihiYaKiswahili #KitabuNiZawadi #WaandishiWaTanzania