
- This event has passed.
CALL FOR YOUTH
March 10 @ 8:00 am - 5:00 pm

MRADI MPYA WA VIJANA – TUMA MAOMBI YAKO SASA KUWA SEHEMU YA MRADI 2025 – 2026
ASEDEVA – TANZANIA & SCHAUBURG – UJERUMANI
HUU NIMWALIKO WA KUSHIRIKI MRADI HUU KWA VIJANA 2025 – 2026
Mpango wa Maendeleo ya Vijana na Mabadilishano ya Kitamaduni
Tanzania – Ujerumani
Je, wewe ni kijana mwenye umri wa miaka 18-27 na una shauku kuhusu haki za kijamii, historia ya ukoloni, uhusiano wa kimataifa, na elimu ya demokrasia? Hii ni fursa yako ya kushiriki katika programu ya kubadilishana tamaduni kati ya vijana wa Tanzania na Ujerumani!
Jinsi ya Kuomba:
Tuma nyaraka zifuatazo:
1. Barua ya motisha
2. Wasifu wako (CV)
3. Picha zako mbili za hivi karibuni
4. Kiungo cha video kinachoonyesha kipaji chako bora (mfano: kucheza, kuimba, kupiga ala ya muziki, sarakasi, n.k.)
📩 Tuma maombi yako kwa: [email protected]
Mwisho wa kutuma maombi: 10 Machi 2025.