
- This event has passed.
CHIMBO LA HIP HOP
August 14 @ 7:00 pm
Free
Mambo Vipi Dar imerudi! 🔥
Chimbo La Hip-Hop kinawasha moto @goethetanzania kwa jioni ya nguvu inayochanganya vipengele vya msingi vya Hip Hop:
MCing (Kurap), DJing, Breakdancing, Graffiti na Maarifa.
“Chimbo” ni msemo wa Kiswahili unaotumika kwenye muktadha wa Hip-Hop kumaanisha duara au mkusanyiko wa marapa, MCs au wacheza densi wanaojieleza kwa ubunifu wa pamoja na wa papo kwa papo.
Hiki si kikao cha kawaida – Chimbo La Hip-Hop ni alama ya mshikamano, usawa, na ubunifu usio na mipaka.
Ungana kwenye duara pamoja na wasanii wa kweli wanaoleta energia, midundo na maarifa jukwaani! 🔥
đź“… Tarehe: Alhamisi, 14 Agosti 2025
đź•– Muda: Saa 1:00 jioni
🚪 Milango itafunguliwa: Saa 12:30 jioni
📍 Mahali: Goethe-Institut Tanzania, Upanga – Dar es Salaam