Loading Events

  • This event has passed.

DESIGNING BOOKS WORKSHOP

March 6 @ 3:00 pm

Venue

Alliance Française de Dar
Alliance Francaise, Dar es Salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
+255 22 213 1406

Organizer

Alliance Française de Dar
Phone:
+255 22 213 1406
Email:
info@afdar.com
View Organizer Website

Details

Date:
March 6
Time:
3:00 pm
Event Categories:
, ,
Ushawahi kujiuliza jinsi jalada la kitabu linavyoundwa? Ni nini hufanya liwe la kuvutia na lisilosahaulika? Jiunge nasi kwenye warsha ya Kalam Salaam na gundua sanaa ya usanifu wa majalada ya vitabu. Tukitumia majalada makini ya Mkuki na Nyota kama kielelezo, tutachunguza jinsi picha na muundo vinavyosimulia hadithi katika uchapishaji. Na baada ya warsha? Karibu kufuturu nasi—wote mnakaribishwa!

Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA.Tunawashukuru Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania (@franceintanzania) na Alliance Française ya Dar es Salaam (@af_dar) kwa kuunga mkono mradi wetu chini ya FEF Creation Africa Project. Endelea kufuatilia na jiunge nasi #creationafricatanzania kwa habari zaidi.
Tembelea washirika wetu hapa chini kujifunza zaidi kuhusu miradi yao:


@ajabuajabu
@altaer_sp
@asedeva_tanzania
@dcmazanzibar
@deja_vu_studios_
@mervkirep
@rangigallerytz
@singelimovement_
@tzpunchline
@ubt_tz
#creationafrica #creationafricatanzania