- This event has passed.
EXIM BIMA FESTIVAL!
September 28, 2024 @ 8:00 am
FreeExim Bima Festival 2024
Bank ya Exim, ikishirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Bima nchini,wanakuletea EXIM BIMA FESTIVAL 2024.
Tukane viwanja vya Gymkhana, Jumamosi ya tarehe 28 mwezi huu kwenye Tamasha hii kubwa la aina yake.
Njoo ushuhudie michuano ya mpira wamiguu kwa wanaume ambapo timu zitakazochuana ni pamoja na Bongo movie Fc, Wasafi Fc, Exim Bank Fc na nyingine nyingi.