
- This event has passed.
FACE TO FACE A PHOTOGRAPHIC PROJECT BY DELPHNE BLAST (FR)
September 13, 2023 @ 6:00 pm - September 14, 2023 @ 6:00 pm
Free
FACE TO FACE
A Photographic project by Delphne Blast (FR)
“Face to Face” is a photographic project that aims at highlighting African painted signs, an integral part of popular culture and which
unfortunately tend to disappear today, replaced more and more by digital prints. Intended both to identify a business and to serve as an
advertising medium, these signs are an art in themselves. It is therefore natural that Delphine Blast wished to pay tribute to this African folk art.
RECAP
On Wednesday, 13th of September at 6pm
Exhibition running until the 14th of October
At the Alliance Française of Dar es Salaam
Free Entrance
_____________________________
[MAONESHO] FACE TO FACE (USO KWA USO)
MRADI WA KUPIGA/KUCHORA PICHA uliondaliwa na Delphne Blast (FR)
Face to Face (Uso kwa uso) ni mradi wa kupiga/kuchora picha kwa wanaopenda kujifunza au wapo katika tasnia hii ya picha kwa ujumla ikiwa na malengo ya kuangazia na kuleta mwamko wa picha za utamaduni wa Afrika. Desturi na tamaduni zetu katika picha ni muhimu sana na imekua ni kitu ambacho kinapotea siku hizi kwasababu ya uchapishaji wa kidijitali, hivyo mradi huu utasaidia kutatua hii changamoto pia kutambua biashara na kutumika kama chombo cha matangazo. Picha hizi zina sanaa ndani yake, ndio maana Delphne Blast anaweka heshima kwa wasanii kwenye hii sanaa ya Afrika.
MUHTASARI
Siku: Ijumaa 13 Septemba – 14 Oktoba 2023
Muda : 12 Jioni
Mahali: Alliance Française Dar es Salaam
Kiingilio: Bure